Skip to main content

IFAHAMU ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING)

 Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut.

Muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa Uingereza alipata upinzani mkali baada ya kumuumba kondoo huyo akiwa na timu yake ya wanasayansi.
Alifariki akiwa na miaka 79 kwa ugonjwa wa kukakamaa yaani "Parkinson's" aliougua kwa muda mrefu, kilieleza chanzo toka Chuo Kikuu cha Edinburg nchini Scotland.

Wilmut aliibua mjadala mkali juu ya maadili ya kuwaumba viumbe bila kujaamiana mara alipotangaza kwamba yeye na timu yake ya taasisi ya Baiolojia kwa wanyama ya Roslin wamemuumba mwanakondoo kwa kutumia seli za kiini kutoka kwa kondoo mkubwa, na mwanakondoo huyo akapewa jina la Dolly, kutokana na jina la mwanamuziki Dolly Parton.
Uuambaji wa mwanakondoo ulikuwa ni wa awali kwa wanasayansi, kupevusha seli za kiumbe mkubwa na kufanya kazi kama seli za kiumbe mkubwa na kuzaa kiinitete walio sawa.

Uumbaji wa Dolly ulianzisha mapinduzi ya kisayansi kwa wanasayansi wengi, wakiwemo wakosoaji kuwa jambo hilo sio maadili ya kibinadamu.

Mwaka huohuo Rais wa marekani Billy Clinton akapiga marufuku matumizi ya Fuko la fedha la Shirikisho kwaajili ya uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning), kazi zote za utafiti wa 'cloning' zikasimamishwa, kazi ya Wilmut iliwasukuma wanasayansi wengi kuumba wanyama wengineo.
Mwaka 1996 Niki Minaji ali"tweet" maombi yake kuwa "Acheni uumbaji wa binadamu" aliifuta meseji hiyo lakini wengi tayari walishai "screenshot".
Madaktari wa Illuminati wanashindwa kumpandikiza mtu akili kwa 100% inayowafuata wao kwa kila kitu, kwa sababu teknolojia hiyo ilianza mwaka 2015.Hivyo kwa 95% tu ndio wanaweza kuwadhibiti lakini huko nyuma ilikuwa ni 85% tu kuwadhibiti kwa sababu ni binadamu na sio roboti, kwakuwa anatokana na viasili na vinasaba vya mtu, hivyo huwezi kumdhibiti binadamu kwa 100% bali kwa 95% kwa teknolojia ya tangu mwaka 2015.

Hata kuku(Broilers) tunaowala wametoka kwenye mashine ya incubator (kutotoleshea vifaranga).
Mbwa wale wa ndani wafupi wanaopendwa na dada zetu,nk Tuna mazao yanayotokana na GMO (Genetic Organism Modified) mbegu za kisasa, Mahindi (Stuka) kwa miezi mitatu, maharage,nk. 
Hivyo sayansi inakua na binadamu tunaendelea kuwaabudu watu waliotengenezwa bila kujua ni sawa na kuabudu miungu ya uongo. 
Hivyo hili la kuumba wanyama na watu sio kitu kigeni sana. Binadamu wanaumbwa na Illuminati ili kuwasaidia katika kurahisisha kazi zao na mipango yao.

"Cloning" ni kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya labda binadamu au mnyama yoyote, anakuwa na mfanano na mtu au mnyama wa mwanzo ambaye ni halisi na kitendo hiki kinafanyika kwa kutumia vinasaba vya mtu halisi.Kisha anatengenezwa mtu mwingine ambaye watafanana kwa asilimia 99.9 na anawekewa kumbukumbu zote kama za yule wa awali. 
Kitendo hiki hufanyika kwa kumuua binadamu halisi na kuutumia mwili wake uleule akiwa maabara au kuutengeneza mwili mwingine, lakini kumbukumbu zinarudi zilezile.Vifo vya viumbe walioumbwa kwa 99% huwa mara nyingi ni kupooza na kupata kansa ya Ubongo.

Illuminati waliwahi kumuumba Mzee Madiba kuwa Gibson Makhanda, Dr Dre, Eminem, Niki Minaji, Will Smith, Arnold Vosloo kuwa Billy Zane, Nero wa Empaya ya Roma,nk.Vyanzo vinaeleza Madiba alifariki Mei 8 mwaka 1985, akiwa na miaka 67, ndio maana wana sherehe inaitwa dakika 67 za Mandela, alipoingia jela alikuwa na kidoti upande wa kulia wa pua lakini alipotoka alikuwa na kidoti upande wa kushoto.
Mandela halisi alifungwa Jela baada ya kutaka kuingiza askari msituni ili kupambana na kuwaondoa Makaburu, hapo ndipo Makaburu wakamshika na kumfunga jela.


Lengo lilikuwa kuwaondoa kwa mtutu makaburu ili warudi kwao, alipotoka Jela akaja na sera za Amani kupinga ubaguzi, kuwa, watu weusi wasiwabugue makaburu na makaburu wasiwabague weusi, akakabidhiwa tuzo ya Amani na kupewa uraisi.
Wazungu wakampa sifa duniani kuwa ni kiongozi bora Afrika na mpaka leo Duniani kote anatambulika kama shujaa wa Afrika.
Mandela aliumbwa"Cloned" na madaktari wa Illuminati na kujifanya Mandela halisi, walimuua akiwa gerezani, hivyo alikaa miaka 18 tu na kuuawa, ghafla wakagundua wamefanya kosa, kwani watu walikuwa wanamtaka Mandela wao atoke jela, hawakuwa na jinsi bali kumuumba Mandela mwingine ajifanye Mandela halisi.


Comments

Popular posts from this blog

Nyumba ya P.Diddy yavamiwa na maafisa usalama

  Nyumba ya mfanyabiashara na mwanamuziki maarufu nchini Marekani P.Diddy ambaye sasa hivi anajiita DIDDY imevamiwa na maafisa wa usalama wa nchini Marekani kwa ajili ya upekuzi na uchunguzi. Maafisa wa usalama hao walivamia nyumba ya Diddy na kuwafunga pingu watoto wake wawili wanaofahamika kwa majina ya King na Justin wakati huo huo baba yao ikiwa hajulikani alipo. Inasemekana mara ya mwisho ndege ya Diddy ilikuwa ikionekana angani kuelekea visiwa vya Carribean. Diddy anashutumiwa kujihusisha na biashara haramu za ngono na biashara ya binadamu na hii ndiyo sababu uvamizi huo umefanyika katika nyumba yake. 

Kwanini Mungu hajibu maombi yetu?

  Wakati mwingine tumekuwa tukiomba sana kwa Mungu lakini hatupokei majibu. Leo tutajifunza mambo 10 yanayosababisha maombi yetu kutojibiwa. 1) DHAMBI. Baada ya mwanadamu kuasi pale Eden dhambi iliingia ulimwenguni na kila aliyezaliwa alikua na dhambi. Lakini hii haikumaanisha kwamba tukiomba Mungu hatusikii, bali ilimaanisha ili Mungu atusikie,t ulipaswa kwanza kutubia makosa na dhambi zetu ndipo tumueleze Mungu matatizo yetu. Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi; bali mtu akiwa ni mcha Mungu, na kuyafanya mapenzi yake, humsikia huyo. Yohana 9:31   lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia. Hivyo basi kabla hujampelekea Mungu matatizo/shida yako hakikisha mahusiano yenu yako vizuri.  2) KUKOSA IMANI. Nadhani hii ni miongoni mwa sababu kubwa  inayofanya watu wasipokee majibu ya maombi yao. Wa e brania 11:6  Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana m...

Imamu shoga auliwa na wasiojulikana

  M uhsin Hendricks, mtu mashuhuri aliyejulikana kama imamu wa kwanza duniani aliyejitangaza hadharani kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ameuwa kwa risasi nchini Afrika Kusini. Kiongozi huyo wa kidini mwenye umri wa miaka 57 alikuwa anaongoza msikiti mmoja katika jijini la Cape Town uliolenga kuwa mahali salama na kimbilio kwa waumini wa kiislamu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wale waliotengwa na jamii. Alipigwa risasi Jumamosi asubuhi baada ya gari alilokuwa akisafiria karibu na jiji la kusini la Gqeberha kushambuliwa. "Washukiwa wawili wasiojulikana wakiwa wamefunika nyuso zao walitoka kwenye gari ingine na kuanza kulimiminia risasi nyingi gari hilo," polisi walisema katika taarifa yao. Habari za kifo cha Hendricks zimeleta mshtuko mkubwa katika jamii ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (LGBTQ+ ) na kwingineko, huku kukitolewa salamu nyingi za rambirambi kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Julia Ehrt, mkurugenzi mtendaji wa shirika la Internati...